Back to homeWatch Original
OCS wa Nyahururu ajipata matatani kwa kupendekeza wanawake wachache waajiriwe katika idara ya polisi
video
August 2, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kauli ya afisa mmoja wa ngazi ya juu wa polisi ya kumtaka Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja asitishe uajiri wa wanawake katika idara ya polisi imezua hasira kutoka kwa wadau mbalimbali wanaotaja semi hizo kama ubaguzi na ukiukaji mkubwa wa katiba. OCS wa Kituo cha Polisi ..