Back to homeWatch Original
Foleni zashuhudiwa kufuatia uhamisho wa mfumo wa SHA kwenda dijitali
video
August 5, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mkanganyiko na foleni ndefu za wagonjwa zimeshuhudiwa kwenye hospitali kadhaa nchini, katika shughuli ya kuhamisha mfumo wa SHA kwa njia ya dijitali. Kutoka hospitali za Kisii hadi Nakuru, waliofika kupata huduma walihangaika kuhamishwa kwa maelezo yao kwenye mfumo wa dijitali. H..