Back to home

jali ya ndege Mwihoko, watu sita wafariki

video
August 7, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WATU SITA WAMEAGA DUNIA BAADA YA NDEGE AINA YA CESSNA INAYOMILIKIWA NA SHIRIKA LA AMREF KUANGUKA KATIKA ENEO LA MWIHOKO HUKO GITHURAI KAUNTI YA KIAMBU. NA KAMA ANAVYOARIFU FRANKLIN WALLAH, MIONGONI MWA WALIOFARIKI NI WATU WANNE WALIOKUWA KWENYE NDEGE NA WENGINE WAWILI WALIOKUWA N..