Back to home

Watu 6 wafariki baada ya ndege ya shirika la AMREF kuanguka leo katika eneo la Mwihoko

video
August 7, 2025
5h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Watu sita wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa vibaya baada ya ndege ya shirika la AMREF kuanguka leo katika eneo la Mwihoko, Kaunti ya Kiambu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting..