Back to homeWatch Original
EACC yapendekeza magavana watatu washtakiwe
video
August 22, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imependekeza magavana watatu walioko mamlakani na mmoja wa zamani wafunguliwe mashtaka kuhusiana na madai ya ufisadi. Tume hiyo pia imesema kuwa uchunguzi dhidi ya magavana wengine watano wa sasa na kumi na mmoja wa zamani unakaribia k..