Back to homeWatch Original
Serikali yazungusha ua kwenye sehemu zenye misitu
video
August 26, 2025
1h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kama Njia ya kukabialiana na changamoto kama vile uvunjaji wa sheria zinazodhibiti misitu na uvamizi wa mara kwa mara kutoka kwa wanyamapori serikali imeanzisha mchakato wa kuweka nyua kwenye misitu..