Back to home

Miili 6 zaidi yafukuliwa Kwa Binzaro – Idadi yafikia 19

video
August 26, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Miili sita zaidi imefukuliwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi na kufikisha idadi ya maiti zilizofukuliwa kuwa 19. Aidha, Jumla ya viungo 18 kufikia sasa vimepatikana kwenye zoezi la ufukuzi linaloendelea..