Back to home

Mapigano ya Mau Narok | Mtu mmoja auawa kwenye mapigano eneo la Tipis

video
August 31, 2025
12h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hali imeendelea kuwa tete katika kijiji cha Tipis kwenye mpaka wa Narok na Nakuru ambako mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa kwenye mapigano ya kikabila yaliyozuka eneo hilo. Zaidi ya nyumba kumi zimeteketezwa kufuatia mapigano haya yaliyozuka jana usiku..