Back to homeWatch Original
Mau Narok: Mapigano Yazuka Tipis, Nyumba Zachomwa
video
September 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hali imeendelea kuwa ya hofu katika eneo la tipis kwenye mpaka wa narok na nakuru ambako mapigano yameshuhudiwa kati ya jamii mbili za eneo hilo. Hii ni baada ya nyumba tatu zaidi kuteketezwa moto kwenye siku ya pili ya mzozo huu...