Back to home

Polisi wanachunguza wanaotekeleza mapigano eneo la Tipis, Nakuru

video
September 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hali ya taharuki ingali imetawala eneo la tipis kwenye mpaka wa kaunti za nakuru na narok kutokana na mapigano kati ya jamii mbili. Ripoti za wakazi zikiarifu kuwa nyumba zaidi zimeteketezwa usiku wa kuamkia leo licha ya maafisa wa usalama kushika doria usiku na mchana. Wazee ku..