Back to home

Usajili wa wapigakura Samburu

video
September 2, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Huku tume ya uchaguzi na kuratibu mipaka nchini ya IEBC,ikitarajiwa kuanza zoezi la kuwasajili wapigakura wapya kuanzia septemba 29, viongozi kutoka maeneo ya wafugaji wametoa changamoto Kwa jamii hiyo kujitokeza na kujisajili zoezi Hilo litakapoanza..