Back to homeWatch Original
IEBC yatangaza mikakati ya chaguzi ndogo 23
video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini -iebc, ametangaza mikakati ya chaguzi ndogo 23 zitakazofanyika tarehe 27 mwezi novemba mwaka huu. Erustus ekethon amesema kuwa tume hiyo iko tayari kwa chaguzi hizo ndogo. Ethekon amewataka wawaniaji wote kuangazia sheria ziliz..