Back to home

Wakulima wa kahawa kutoka kaunti 11 wakongamana Kirinyaga kulalamikia mpango wa malipo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 2, 2025
3w ago
Wakulima wa kahawa kutoka kaunti kumi na Moja humu nchini wametishia kutoa huduma za mauzo ya kahawa kutoka soko la Nairobi (NCE) iwapo serikali itaendelea na mpango wa malipo ya Moja kwa Moja ya DSS Wakulima hawa wakilalamikia kuwa malipo kwa njia ya simu yanawapunja. Wakulima