Back to home

Masaibu ya mayatima nyamira

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wiki mbili baada ya watu wanne wa familia moja kuteketezwa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto kule Nyamira, Watoto Mayatima walioachwa wanapitia changamoto nyingi. majirani wanataka asasi za usalama kuwatendea haki kwani kovu hilo linazidi kuwalemea...