Back to homeWatch Original
Hofu Kirinyaga: Wagonjwa wa figo waumia baada ya mashine kuwa mbovu kwa miezi 5
video
September 7, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wagonjwa wa Figo katika kaunti ya Kirinyaga wanahofia kukosa matibabu katika hospitali ya Kerugoya baada ya mashine za kusafisha figo kuharibika. Mashine hizo ambazo hutoa huduma kwa wagonjwa wote wa figo katika kaunti hiyo zimekuwa zikiharibika mara kwa mara katika muda wa miezi..