Back to home
Polisi wamenasa mafuta yanayoaminika kuibwa Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2025
17h ago
Maafisa wa Polisi Mjini Mombasa wamenasa mafuta ya kupikia yanayoaminika kuibwa kutoka kwa malori ya kusafirisha mafuta na kisha kupakiwa kwenye mitungi ya kampuni tofauti za kuuza mafuta ya kupika nchini na kisha kuuziwa wananchi. Jumla ya malori 13 yamekamatwa katika msako huo.