Back to home

Wagonjwa wa figo wataabika baada ya mashine kuharibika

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
16h ago
Wagonjwa wa Figo katika kaunti ya Kirinyaga wanahofia kukosa matibabu katika hospitali ya Kerugoya baada ya mashine za kusafisha figo kuharibika. Mashine hizo ambazo hutoa huduma kwa wagonjwa wote wa figo katika kaunti hiyo zimekuwa zikiharibika mara kwa mara katika muda wa miezi