Back to home

Shule ya St. George's yafungwa baada ya madai ya mwanafunzi kupigwa usiku

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
6h ago
Shule ya upili ya wasichana ya st. George’s jijini nairobi imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi wa shule hiyo kuvunja lango na kuandamana usiku wa kuamkia leo. Wanafunzi hao walikuwa wakilalamikia madai ya kupigwa na kujeruhiwa kwa mwanafunzi mwenzao na mwalimu mm