Back to home
Wanafunzi Meru wazua zogo wakilalamikia ukosefu wa usalama
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
6h ago
Shughuli za uchukuzi kwenye barabara ya Meru kuelekea Maua zilitatizika kwa muda baada ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Meru kuandamana na kufunga Barabara hiyo wakilalamikia Ukosefu wa Usalama Kwenye Maeneo ya Makaazi yao.