Back to home
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Bomet walalamikia daraja bovu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Uongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Bomet hapo jana uliandamana kuhusu daraja ambalo limeoza linalounganisha vyumba wanakoishi na chuo hicho.