Back to home
Wakazi wa Mukuru kwa Njenga wamefaidi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
5h ago
Ni miezi minne sasa tangu wakazi wa Mukuru kwa Njenga, Riara na Marigoini kuingia katika nyumba za serikali za new Mukuru. Wakazi hao wanaendelea kutabasamu na kufurahia maisha mapya. Huku nyumba zaidi zikiendelea kujengwa wakazi ambao walijaza stakabadhi za nyumba hizo wanaendel