Back to home

Polisi wafuatilia ushahidi wa CCTV kesi ya mauaji ya wakili Mbobu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Maafisa wa polisi wanaendelea na uchunguzi kuhusu mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbubo aliyepigwa risasi katika barabara ya Langata -Magadi jijini nairobi siku ya Jumanne.Polisi wamepata baadhi ya picha za cctv zinazotumika katika uchunguzi wa mauaji hayo. Walioshuhudia kisa hicho