Back to home

Familia ya wakili Mbobu yataka haki baada ya mauaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Familia ya marehemu Mathew Kyalo Mbobu imekumbwa na mshtuko kufuatia mauaji ya wakili huyo aliyepigwa risasi na kuuwawa kwenye barabara ya langata kuelekea magadi siku ya jumanne . Familia hiyo sasa inataka uchunguzi kufanywa kwa haraka na haki itendeke kwa mwana wao ambaye wamem