Back to home
Maafisa wa DCI wafukua mwili wa mzee aliyeuawa Mwingi, Kitui
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
3h ago
Maafisa wa vitengo tofauti wakiwemo wa ujasusi kutoka migwani kaunti ya kitu na Nairobi , wamefukua mwili wa mzee mwenye umri wa miaka 70 kutoka thokoa, anayedaiwa kuuawa na mwanawe w kiume kisha akamzika.