Back to home
Wanabodaboda wote ni sharti kujiunga na sacco
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
3h ago
Chama cha usalama wa bodaboda nchini, viongozi wa wahudumu wa bodaboda pamoja na wakuu wa polisi wamekutana kujadili mikakati ya kukabiliana na uhalifu wa baadhi ya wanabodaboda hasa wanaoteketeza magari panapotokea ajali. Imeafikiwa kuwa kila mhudumu wa bodaboda ni sharti ajiung