Back to home
KALRO yaendeleza upanzi wa viazi vya kisaki Muguga
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
2h ago
Wanasayansi wanaendeleza uzalishaji wa viazi vya kisaki au vile ambavyo vimeboreshwa kijenetiki ili kuwapunguzia wakulima wa viazi gharama inayosababishwa na ugonjwa wa kuvu. Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo (KALRO) huko Muguga, kaunti ya Kiambu linaendeleza kilimo cha via