Back to home

Viongozi wa makanisa Kitui washirikiana na serikali kumaliza visa vya ubakaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
2h ago
Kutokana na kuongezeka kwa visa vya wasichana kunajisiwa,na watu tofauti tofauti, viongozi wa makanisa kutoka kata dogo la Mumoni kaunti ya Kitui wameanzisha juhudi za kusaidiana na selikali ili kumaliza visa hivyo.