Back to home

Vijana watakiwa kuwania nyadhifa za uongozi nchini katika eneo la Shime Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
2h ago
Huku chaguzi ndogo zikitarajiwa katika maeneo mbali mbali nchini hivi karibuni, baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Kilifi sasa linawataka vijana kujiandikisha kwa wingi kuwa wapiga kura na kushiriki kikamilifu katika chaguzi hizo.