Back to home
Kituo cha maridhiano nyamira
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na taasisi ya mafunzo ya maridhiano Afrika Mashariki imeshuhudia kuzinduliwa kwa kituo cha kwanza cha maridhiano nchini, kwa lengo la kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani.