Back to home

Braza la wazee kutoka Kasipul washauri bodi ya uchaguzi ya ODM kutopendelea yeyote

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
2h ago
Baraza la wazee kutoka kasipul limeshauri bodi ya uchaguzi wa chama cha ODM kutoleta mapendeleo wakati wa mchujo wa atakayepeperusha bendera odm kwenye uchaguzi ndogo katika eneo la Kasipul.