Back to home

Viongozi wa Pwani waitaka serikali kuu kutatua migogoro ya ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Viongozi kutoka pwani wameitaka serikali kutatua tatizo la ardhi pwani ili kuepuka migogoro ya mara kwa mara. Wakiongea katika hafla ya kutoa hatimiliki huko miritini waziri wa madini na uchumi wa maziwa na bahari Ali Hassan Joho, Gavana wa mombasa Abdulswamad Sharif pamoja na vi