Back to home
Mke wa naibu rais Joyce Kithure aendeleza kampeni ya upanzi wa miti Tharaka Nithi
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 15, 2025
3h ago
Wakazi wa Tharaka Nithi wamepokea miche ya miti ya matunda ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa ya upanzi wa miti, kwa ushirikiano kati ya Kanisa la Latter Day Saints na Ofisi ya mke wa naibu rais Joyce Kithure.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today an