Back to home

Polisi washirikiana na wazee kurejesha mbuzi walioibiwa Laikipia Kaskazini

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Ushirikiano wa maafisa wa polisi na wazee wa mtaa kutoka eneo la Laikipia Kaskazini umesaidia kurejesha mbuzi 25 waliokuwa wameibwa juma lililopita katika kijiji cha Kahuho, Wandi ya Sosian.