Back to home
Wachimbaji madini wadogo wahimizwa kujiunga na mashirika
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
3h ago
Muungano wa wachimbaji madini wadogo nchini (ASMAK) ukiongozwa na mwenyekiti wao Ahmed Salah, umewataka wachimbaji wadogo kote nchini kuunda vyama vya ushirika vya kikanda.