Back to home
Vijana wahimizwa kuongeza ubunifu wakisaka ajira nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
3h ago
Katibu katika wizara ya vijana Fikirini Jacobs amesema kuwa serikali iko mbioni kulinda uvumbuzi wa vijana ili kuwasaidia kuongeza juhudi za ubunifu katika kuwapa ajira.