Back to home

NACADA yafanya msako wa ghafla kaunti ya Siaya

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
3h ago
Msako wa kushitukiza uliofanywa na kikosi cha mashirika mbalimbali kikiongozwa na NACADA kilinasa dawa za kulevya na pombe haramu karibu na shule ya msingi ya Awelo Siaya mjini.