Back to home
Familia yalilia haki baada ya mpendwa wao kutekwa nyara na polisi
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Familia moja huko Lamu imewachwa na mahangaiko baada ya mpendwa wao kutekwa nyara ijumaa iliyopita na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Mohammed Obbo mkazi kisiwani Amu, alishikwa mateka huko Kiunga anakosemekana alikuwa ametemebelea familia yake baada ya shughuli zake z