Back to home
Wanamazingira katika kaunti ya Kwale wataka chupa za plastiki zipigwe marufuku fuoni
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Wanamazingira na wavuvi katika kaunti ya Kwale wamependekeza marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki ijumuishe chupa za plastiki kwa lengo la kupunguza uchafuzi wa mazingira hususan maeneo ya baharini.