Back to home
Machifu wa eneo la Elwak Mandera waunga kupewa silaha
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
3h ago
Machifu kutoka eneo la Elwak, kwenye mpaka wa Kenya na Somalia eneo la Mandera Kusini, wameunga mkono hatua ya serikali kuwahami kwa bunduki ili kukabiliana na tishio la wanamgambo wa Al Shabaab.