Back to home

Wavuvi Malindi walalamikia sheria mpya za uvuvi zilizowekwa na kaunti

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
2h ago
Wadau wa sekta ya uvuvi kaunti ya kilifi wameandamana kulalamikia sheria mpya za uvuvi wanazodai kuwa zinawakandamiza.