Back to home
Magavana wapinga mfumo wa kidijitali wa malipo wakisema utaathiri utendakazi wao
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
5d ago
Baraza la magavana limeendelea kupinga utoaji wa zabuni au kandarasi kupitia mfumo wa mtandao wakisema mfumo huo umeharakishwa na utaathiri utendakazi wa serikali za kaunti