Back to home
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kinyama ya msichana eneo la Nyaosi akana mashtaka
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kinyama ya msichana mmoja aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa eneo la Nyaosi katika kaunti ya Nyamira, alikana mashtaka katika mahakama kuu ya Nyamira kujibu.