Back to home
Huduma za matibabu ya figo zarejelewa Kerugoya kaunti ya Kirinyaga
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
2w ago
Huduma za wagonjwa wa figo zimerejelewa katika Hospitali ya Kerugoya, kaunti ya Kirinyaga, baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na kuharibika kwa mashine za kusafisha damu.