Back to home

Kauli ya maaskofu wa kanisa la Kianglikana kuhusu mustakabali wa taita

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
1h ago
Kanisa la Kianglikana nchini (ACK) limeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kushughulikia mgogoro unaozingira Bima ya Afya SHA kufuatia ripoti za kusitishwa kwa huduma katika hospitali za kibinafsi kutokana na kucheleweshwa kwa malipo. Askofu Mkuu wa ACK, Jackson Ole Sapit, ak