Back to home
INFOTRAK yatoa kura ya maoni
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
1h ago
Utafiti wa hivi punde wa kura ya maoni unaonyesha kuwa wakenya wengi zaidi asilimia 57% wanasema kuwa taifa linaenlekea pabaya.Sababu kuu zinazotajwa ni gharama kubwa ya maisha, utawala mbaya, na ukosefu wa ajira ambao unaongoza pwani na nairobi.