Back to home

Wakazi wa Boiman kaunti ya Nyandarua waandamana kuhusu utovu wa usalama

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Wakazi na wafanyabiashara kutoka Kituo cha Biashara cha Boiman katika wandi ya Gathanji la eneo la Ol-Joro Orok kaunti ya Nyandarua wameandamana wakilalamikia utovu wa usalama katika eneo hilo.