Back to home

Shabiki akamatwa kwa kukejeli bendera ya Kenya uwanjani

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Idara ya upelelezi imethibitisha kukamatwa kwa Ibrahim Haidar yusuf, mmoja wa vijana walionaswa kwenye picha za simu wakiikosea heshima bendera ya Kenya wikendi iliyopita, wakati wa mechi kati ya Mogadishu City na Police FC. Ibrahim mwenye umri wa miaka 17 amekamatwa saa chache b