Back to home

Mwenyekiti wa bodi ya sukari humu nchini Nicholas Gumbo azuru kiwanda cha Sony

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Mwenyekiti wa bodi ya Sukari humu nchini Nicholas Gumbo amewahakikishia wakulima wa miwa kuwa serikali imejitolea kuboresha sekta ya sukari akisema kuwa ukodishaji unaofanywa na serikali ndio uamuzi bora zaidi katika sekta hiyo......