Back to home
Chuo cha Mafunzo Anuwai cha Murende eneo bunge la Matayos chapungukiwa na maziwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
4h ago
Wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kukumbatia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kwa wingi ili kukidhi mahitaji ya bidhaa hiyo katika shule na vyuo vya mfunzo anuai. Uhaba wa maziwa katika chuo cha mafunzo anuai cha Murende eneo bunge la Matayos unatatiza juhudi za wanafunzi z