Back to home
Wahudumu wa teksi na tuktuk walalamikia kudorora kwa biashara yao
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Wahudumu wa tuktuk na teksi huko Watamu eneo bunge la kilifi kaskazini wameandamana wakilalamikia kudorora kwa biashara yao kutokana na uwepo wa usafiri wa teksi zinanzotumia viunzi vya mtandao kupata wateja.